వార్తలు

Kitanga alifungua maombi mwaka 2024 dhidi ya Bodi ya Utawala (Governing Board) ya CBE na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ...
Mzizi wa yote hayo ni barua ya malalamiko iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, ...
Rufaa ya Auleria inatokana na uamuzi wa Mahakama ya Wilaya Songea katika rufaa ya jinai iliyobatilisha hukumu dhidi ya Pendo ...
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, ...
Hayo yanakuja ikiwa ni siku mbili zimepita tangu INEC itangaze mgawanyo wa majimbo uliosababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya ...
Maeneo yatakayokumbwa na upepo kwa mujibu wa TMA ni mikoa ya Pwani ikiwamo Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya ...
Ikipewa nguvu na dira thabiti, ubunifu wa kidijitali wa hali ya juu, na msisitizo usiyoyumba katika kulinda thamani ya wateja ...
Mariam, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema ujenzi wa masoko umekuwa na changamoto kubwa kwani mengi yanajengwa maeneo ...
Dk Nchimbi atakuwa bega kwa bega na mgombea urais wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan ambaye naye alipitishwa na mkutano ...
Air France-KLM kwa sasa inaendelea kutoa huduma za ndege mara saba kwa wiki kati ya Dar es Salaam na Amsterdam kupitia KLM, ...
Kwa mujibu wa TCRA, idadi ya laini za simu zinazotumika kwa mawasiliano hapa Tanzania imeongezeka kwa asilimia 4.1 kutoka ...
Shauri lilipoitwa, mwendesha mashitaka Wakili wa Serikali, Edgar Bantulaki ameieleza mahakama wana mashahidi wanne na wako ...