ニュース

DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Spika mstaafu wa Bunge la ...
MOROGORO; WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Benhubert ya Kivule, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi ...
DAR ES SALAAM; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kitaendesha harambee maalumu kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kampeni za chama hicho wenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
DAR-ES-SA;AAM : OFISI ya Msajili wa Hazina imeandaa kikao kazi maalum ‘CEO Forum 2025’ kitakachowaleta pamoja Wenyeviti wa ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai alikuwa msaada mkubwa katika utekelezaji wa majukumu yake bungeni. Majaliwa alisema hayo wakati wa ibada ya kuaga ...
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson ametoa mwito kwa viongozi watumie mamlaka waliyopewa ...
MAMIA ya waombolezaji wameuaga mwili wa Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai (62) jijini Dodoma na Kongwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Spika wa Bunge mstaafu, Job Ndugai alikuwa kiongozi mahiri. Rais Samia alisema hayo wakati ...
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Spika mstaafu wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameacha somo kwa jamii kuwa kuzaliwa katika familia duni si kikwazo cha kushika nafasi za juu za uongozi. Dk ...
Jaji Masaju alisema hayo wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa Ndugai kwenye viwanja vya Bunge Dodoma jana. Alisema wakati ...
BAMAKO , MALI : SERIKALI ya kijeshi nchini Mali imewakamata karibu wanajeshi 50 wanaoshukiwa kupanga njama ya kupindua ...
Msuya amesema moja ya teknolojia iliyobuniwa ya Mzuri Pro-Til inayofanya kazi nyingi kwa pamoja kama kulima uwekaji mbolea, ...