ニュース
DAR ES SALAAM; VYOMBO vya habari nchini vimekumbushwa wajibu wao kujenga misingi ya haki na demokrasia kuelekea uchaguzi mkuu ...
Takwimu hizo zimebainishwa leo Mei 15, 2025 bungeni jijini Dodoma kwenye na Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa wakati ...
Pongezi hizo zilitolewa wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2025/2026, iliyowasilishwa ...
DODOMA: WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa Serikali imeongeza mapato kupitia Shirika la Ndege la ...
Mradi wa NOURISH ndani ya mwaka mmoja umeleta mafanikio makubwa kwa wakulima zaidi ya 6,000 wameunganishwa na wasambazaji wa ...
Filamu hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwaka 2025. Lakini kabla ya hapo, watazamaji wa Cannes watakuwa wa ...
KIGOMA: BARAZA la Madiwani na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu limemshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu ...
DAR ES SALAAM; CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) pamoja na Chemba ya Biashara ya Zanzibar (ZNCC), ...
MKUTANO wa Tatu wa Wizara ya Maliasili na Utalii na sekta ya umma na binafsi katika utalii unaendelea jijini Arusha ukiwa na ...
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam imeeleza kuwa ina upungufu wa damu kwa asilimia 60 kutokana na kiwango ...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amewataka watumishi wa sekta ...
TANZANIA na Finland wamekubaliana kuimarisha biashara baina yao. Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar es Salaam ...
一部の結果でアクセス不可の可能性があるため、非表示になっています。
アクセス不可の結果を表示する