ニュース

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeongeza muda kujisajili kulipa kodi kwa watu binafsi na taasisi zote zinazojihusisha na ...
Muuguzi huyo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Julai 2, mwaka 2024, mtaa wa Rau Pangaleni, Wilaya ya Moshi, ...
Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japani (JICA) linatambua ari ya wakulima na jukumu muhimu wanalotekeleza katika ...
Serikali imeombwa kutoa elimu zaidi ya usimamizi wa miradi ya mazingira ili kusaidia Taifa kuondokana na jangwa, ukame.
Taarifa za kifo cha Uribe zimetolewa na mke wake, Maria Claudia, Jumatatu, 11 Agosti 2025, ambaye amesema kifo hicho ...
Amesisitiza kuwa matumizi ya nishati safi kama gesi si tu yanaboresha maisha ya familia bali pia ni suluhisho kwa changamoto ...
Upande wa mashitaka umedai bado inaendelea na upelelezi katika kesi ya kuingilia mfumo wa benki na kuiba Sh2.3 bilioni ...
Dickson alipatikana akiwa ameuawa Agosti 9, 2025, katika Mtaa wa Malimbe, Kata ya Luchelele, Wilaya ya Nyamagana, kando ya ...
Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa wamesaini mkataba mpya wenye thamani ya sh 21.7 Bilioni.
Kiungo mshambuliaji wa Afrika Kusini, Neo Maema amefanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Guinea.
CCM inalenga kukusanya Sh100 bilioni kupitia harambee hiyo, huku ikieleza fedha hizo zitatumika katika maandalizi ya kampeni ...
Dar es Salaam. Alhamisi ya Agosti 14, 2025 kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 9:30 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki (EAT), ...