Nuacht

Kiungo mshambuliaji wa Afrika Kusini, Neo Maema amefanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Guinea.
Dar es Salaam. Alhamisi ya Agosti 14, 2025 kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 9:30 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki (EAT), ...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wanaamini katika kumuenzi Ndugai na watamkumbuka kwa kuendeleza mema yote ...
CCM inalenga kukusanya Sh100 bilioni kupitia harambee hiyo, huku ikieleza fedha hizo zitatumika katika maandalizi ya kampeni ...
Hali ya taharuki imetokea katika machinjio ya Ukonga Mazizini baada ya askari magereza zaidi ya 20 wanaodhaniwa ni wa Gereza la Ukonga, kudaiwa kuvamia eneo hilo na kupiga wafanyakazi wa machinjio ...
Benki ya CRDB imezindua CRDB Al Barakah Sukuk, hatifungani itakayokusanya fedha zitakazowezesha biashara bila riba nchini ...
Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama wa Mtandao Korea Kusini (KISA) ...
Mpango wa Tanzania kutumia nyuklia kama chanzo cha nishati umeanza, baada ya kusaka teknolojia ya kuzalisha umeme kwa nishati hiyo bila kusababisha madhara.
Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama wa Mtandao Korea Kusini (KISA) ...
Hata hivyo, upande wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa bado unaendelea na uchunguzi katika kesi.
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Meneja wa Uendeshaji wa Biashara wa Piku, Sia Malewas, alieleza kuwa Piku imepatiwa ...
Katika jitihada za kuboresha uzalishaji wa maziwa na kuinua sekta ya mifugo, wafugaji katika Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya, ...