ニュース

Upande wa mashitaka umedai bado inaendelea na upelelezi katika kesi ya kuingilia mfumo wa benki na kuiba Sh2.3 bilioni ...
Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa wamesaini mkataba mpya wenye thamani ya sh 21.7 Bilioni.
Kituo cha Kuratibu, Utafutaji na Uokoaji (MRCC) kinachojengwa jijini Mwanza kinatarajiwa kukamilika mwezi ujao kikitajwa kuwa ...
Kiungo mshambuliaji wa Afrika Kusini, Neo Maema amefanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Guinea.
Dar es Salaam. Alhamisi ya Agosti 14, 2025 kuanzia saa 8:00 mchana hadi saa 9:30 alasiri kwa saa za Afrika Mashariki (EAT), ...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wanaamini katika kumuenzi Ndugai na watamkumbuka kwa kuendeleza mema yote ...
CCM inalenga kukusanya Sh100 bilioni kupitia harambee hiyo, huku ikieleza fedha hizo zitatumika katika maandalizi ya kampeni ...
Hali ya taharuki imetokea katika machinjio ya Ukonga Mazizini baada ya askari magereza zaidi ya 20 wanaodhaniwa ni wa Gereza la Ukonga, kudaiwa kuvamia eneo hilo na kupiga wafanyakazi wa machinjio ...
Benki ya CRDB imezindua CRDB Al Barakah Sukuk, hatifungani itakayokusanya fedha zitakazowezesha biashara bila riba nchini ...
Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama wa Mtandao Korea Kusini (KISA) ...
Mpango wa Tanzania kutumia nyuklia kama chanzo cha nishati umeanza, baada ya kusaka teknolojia ya kuzalisha umeme kwa nishati hiyo bila kusababisha madhara.
Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama wa Mtandao Korea Kusini (KISA) ...