News

Mwanamuziki Harmonize amekanusha kauli ya aliyekuwa msanii wake Ibraah ya kumdai kiasi cha Sh1 bilioni, ili aweze kutoka lebo ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limepunguza nusu ya timu yake ya usimamizi na italazimika kupunguza shughuli zake baada ya Marekani kutangaza inaondoka katika shirika hilo na kusitisha ufadhili.
Mzizi wa yote hayo ni barua ya malalamiko iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, ...
Kitanga alifungua maombi mwaka 2024 dhidi ya Bodi ya Utawala (Governing Board) ya CBE na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), ...
Rufaa ya Auleria inatokana na uamuzi wa Mahakama ya Wilaya Songea katika rufaa ya jinai iliyobatilisha hukumu dhidi ya Pendo ...
Kesi hiyo iliyokuwa ikisikilizwa kwa njia ya mtandao, sasa itasikilizwa katika Mahakama ya wazi ikipangwa kutajwa Mei 19, ...
Ikipewa nguvu na dira thabiti, ubunifu wa kidijitali wa hali ya juu, na msisitizo usiyoyumba katika kulinda thamani ya wateja ...
Hayo yanakuja ikiwa ni siku mbili zimepita tangu INEC itangaze mgawanyo wa majimbo uliosababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya ...
Shariff amesema pia wataratibu kuimarisha mazingira ya kazi na uhusiano kazini, kusimamia ulinzi wa haki za wafanyakazi, ...
Maeneo yatakayokumbwa na upepo kwa mujibu wa TMA ni mikoa ya Pwani ikiwamo Dar es Salaam, Lindi, Mtwara, pamoja na visiwa vya ...
Mariam, Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo amesema ujenzi wa masoko umekuwa na changamoto kubwa kwani mengi yanajengwa maeneo ...
Kikosi hicho kinachonolewa na Mreno, Ruben Amorim kinashika nafasi ya tano kutoka mkiani katika msimu wa Ligi Kuu England, ...