Nuacht

Kiungo mshambuliaji wa Afrika Kusini, Neo Maema amefanikiwa kufunga bao moja katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Guinea.
Kama unadhani ndoa ya Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa itaishia njiani unakosea. Pande hizo mbili ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amewashtukia wachezaji wa timu hiyo akisema namba yao imekuwa ndogo katika wiki ya ...
LONDON, ENGLAND: KARIBU Pauni 7 bilioni zimetumika kwenye usajili wa mastaa 100 ghali duniani kuanzia mwaka 2008. Kwenye orodha hiyo ya mastaa ghali duniani - kwa maana ya walionaswa kwa pesa nyingi ...
SAA chache tangu kufanyioka kwa droo ya mechi za raundi za awali za michuano ya kimataifa kwa ngazi ya klabu ikiwamo Ligi ya ...
KIPA wa Pamba Jiji, Yona Amos aliyemaliza nafasi ya nne kwa makipa waliokuwa na ‘clean sheets’ nyingi baada ya Moussa Camara ...
KOCHA wa Harambee Stars, Benny McCarthy ameitaja Tanzania kuwa mojawapo ya timu zinazoshiriki dimba la CHAN 2024 ambazo zina ...
AGOSTI 6, 2024 Azam FC ilimpa kijana Abubakar Nizar Othman ‘Ninju’ mkataba wa malezi, yaani wa akademi, wa miaka mitatu ambao ...
CLEMENT Mzize amekuwa katika vichwa vya habari wikiendi hii ndani na nje ya uwanja. Alifunga mabao mawili dhidi ya Madagascar ...
BAADA ya danadana za muda mrefu juu ya dili la mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kuuzwa nje ya nchini, hatimaye mabosi wa klabu hiyo wameridhia kutua Esperance ya Tunisia na kuelezwa sababu ya ...
KWA mujibu wa taarifa kutoka Kenya, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limesitisha uuzaji wa tiketi kwa mechi zote zijazo zitakazochezwa kwenye Uwanja wa Moi International Sports Centre, ...
SAFARI ya soka ya kiungo wa zamani wa Simba, Mtibwa Sugar na Taifa Stars, Awadhi Juma 'Maniche' imejaa machungu, mafanikio na mafunzo kwa chipukizi wanaotaka kufika mbali, kubwa wazingatie nidhamu.